Mwaka wangu is a Inspirational song that encourages not giving up and believing that God is omnipotent no matter how much you are despised, how much you are insulted believe in your dreams you will succeed.
Harmonize – High School
Stream/Download: https://smartklix.com/HighSchoo
lDigital Distribution & Marketing By Ziiki Media
Subscribe for more official content from
Harmonize: https://www.youtube.com/c/Harmonize255/
Follow Harmonize
Instagram: https://www.instagram.com/harmonize_tz/
Twitter: https://twitter.com/harmonize_tz
Facebook: https://web.facebook.com/Harmonize255
TikTok: https://vm.tiktok.com/JYFv7PN/
Listen to Harmonize
YouTube: https://www.youtube.com/c/Harmonize255/
Audiomack: https://audiomack.com/harmonize
Apple Music : https://music.apple.com/tz/artist/harmonize/81714549
Spotify : https://open.spotify.com/artist/1eCaedusgydlcn69blHOvL
Boomplay: https://www.boomplaymusic.com/share/artist/760746
The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: Harmonizemanagement@gmail.com
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762
Lyrics:
Yaw yaw
Jeshii
Lalalilaa mmh lalalaa
Chiiii
Eeh
Ni mwaka mpya mambo mapya sina dhambi nimetubu
Na pesa ntazichanga change nizijaze kwa kibubuu
Japo hata kakibanda nikajenge huko pugu
Maana nyumba za kupanga nishazichoka vurugu
Eti kwani wao waweze wana nini
(Mmmh)
na mimi nishindwe nina nini
Nishachoka siku zote kuwa wa chini
wengine wanakula kipupwe ma ofisini
Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa
mliosema hapewi hapewi mbona amepewa
mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu
nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu
(dear lord)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna)
Huu mwaka nakusanya mavumba ninunue gari yangu
Na wale waliosema mimi ni mguma waje wamuone mwanangu
Huu mwaka marafiki wasio na faida nawaweka pembeni
Wanaokufata wakati wa shida ili wapate hafueni
Niwaonyeshe walionidharau kama mungu anaweza
Nami nipande dau niwasalimu kingereza
When God say yes nobody can say no
(When God say yes nobody can say no)
When God say yes nobody can say no
(When God say yes nobody can say no)
Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa
mliosema hapewi hapewi mbona amepewa
mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu
nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu
(dear lord)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna
#Harmonize #MwakaWangu #KondeMusic
source
Umeua!!!! ???
Kaza sana my brother
From Burundi .Bro asiekupenda niadui yako wee nikiboko yao .Juma Nature amesema ukwel kati yawee na domo kwamba wee nikiboko Tembo ni Tembo tu kilasiku
náo me canso de ouvir musica linda
Amapiano tunes will fully replace Bongo tunes
Urashoboye cane mutama
Hii ndo yenyewe ❤❤❤
Big Up Jeshi wapi Tm Konde Gang
straight from kanairo254
Bonge moja la video..Intro ya moto sana
Myself I,m be proud for this song makes more than that kuwaonyesha walio kuzarau
Teacher
Kali harmonize
Mungu anazidi kukubadilisha pia nazidi kukuombea
??
https://youtu.be/uCf5Qe0N0pY
Ikakupweteka kalipambilile ??
Braza yani hiki kichupa kina maudhui mengi sana kina burudisha, kinaelimisha na kuhamasisha na kutia moyo wa kufanikiwa????
Wata Pata Tatu Sana
Kila hatua dua,harmonize ujumbe umefika…..kivyakevyake…..#tembo.
https://youtu.be/rRnaS4y5Bmg
Asante kwa kutukumbusha na kutukiza moyo wa kujituma.mungu akubarikiiiii
???????
https://youtu.be/uCstowvMOoE
Gaz mawete Nani lyrics :https://youtu.be/uCstowvMOoE
Nakubali sana bro
Hakuna mungu kamawew ? yote yanawezekan
Ignore me now but soon you won't have the courage coz ma name #charlieflexible w'll be everywhere
Nice
Tafuta kazi ya kufanya mziki sio fani yako
My favorite song is 2022 jah bless you guy. Jah bless tz
After harmo hata mimi mwaka huu niwangu.
Endelea kutishaa Good song
Jeshiiiiiii we ni nomaaaa mdogo wake me?????????
Respect my brother trust you in everything
Hii Nyimbo ni Takataka Uchafu
#Proper☝????????
Safi sana jeshi
Nimependa sana mstarii huu (marafiki wasio kuwa na faida nawa weka pembeni)
Huu mwaka marafiki wasio na faida nawaweka pemben wanakufata wakati wa shida ili wapate auweni.. kumbe ndo mana h baba kaamia upande wa pili mana Hana faida
https://youtu.be/tuJr-rI34pY